Wanawake wachapakazi na mfano wa kuigwa kutoka Tanzania

  • | VOA Swahili
    518 views
    Jijini Dar es salaam Wanawake wanajitafutia riziki kwa kuzoa taka na kuzibadilisha kuwa mkaa, kupitia kikundi chao, Wanawake hao wanazalisha mkaa unaotumika zaidi na wafanyabiashara shughuli ambayo inayowapatia kipato na kukidhi mahitaji yao na familia.