Wanawake wachoma hijabu kwenye maandamano ya kupinga sheria za hijab

  • | BBC Swahili
    1,377 views
    Wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika maandamano yanayoongezeka nchini Iran yaliyochochewa na kifo cha mwanamke aliyewekwa kizuizini kwa kuvunja sheria za hijab. Takriban watu saba sasa wameripotiwa kuuawa tangu maandamano ya kupinga sheria za hijabu na polisi wa maadili kuzuka baada ya kifo cha Mahsa Amini. #bbcswahili #hijab#uislamu