Wanawake waendeshaji bodaboda nchini

  • | TV 47
    KAZI NI KAZI Mercy Njeri ni miongoni mwa wanawake wanabodaboda, amekuwa mwendeshaji bodaboda kwa miaka mitatu sasa. Anasema idadi chache cha wanabodaboda inatokana na kasumba ya jamii, angetaka wanawake zaidi kujiunga na sekta ya bodaboda. #TV47News #Tv47PwaniStudio