Wanawake wafanya biashara Afrika wataka vikwazo vya kibiashara vya kijinsia viondolewe

  • | VOA Swahili
    62 views
    Wakati wito wa kutaka utekelezaji wa makubaliano ya Itifaki ya eneo huru la biashara barani Afrika AfCFTA ukisisitizwa, Wanawake Wafanyabiashara wanataka kuondolewa kwa Vikwazo vya kibiashara hasa vinavyohusiana na tofauti za kijinsia sambamba na vile vinavyoweka mazingira magumu ya biashara baina ya mataifa ya Afrika ili kuwezesha utekelzwaji wa itifaki hiyo #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.