Wanawake wafanyabiashara wanataka kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara dhidi yao

  • | VOA Swahili
    2,801 views
    Wanawake wafanyabiashara wanataka kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara hasa vinavyo husiana na tofauti za kijinsia, sambamba na vile vinavyoweka mazingira magumu ya kibiashara baina ya mataifa ya Afrika. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari #voa #voaswahili #dunianileo