Wanawake wahimizwa kukumbatia mfumo wa dijitali soko Busia

  • | Citizen TV
    216 views

    Wanawake katika kaunti ya mpakani ya Busia wamehimizwa kukumbatia mfumo wa kidijitali kufanya biashara ili kupata mapato zaidi. Imebainika kuwa asilimia kubwa ya wanawake hasa maeneo ya mpakani wanadhulumiwa wanapotafuta soko la biashara zao.