Wanawake wahimizwa kushirikiana ili kujiimarisha kiuchumi

  • | KBC Video
    27 views

    Wanawake wamehimizwa kujitahidi kubuni mitandao ya kitaalamu na kijamii iili kujiendeleza kiuchumi. Katika hotuba aliyotoa katika kituo cha uwezeshaji wa wanawake kiuchumi katika chuo kikuu cha Nairobi, Rais mteule wa Chama cha Wanasheria humu nchini, Faith Odhiambo, alikariri umuhimu wa kubuni mtandao wa ushirikiano baina ya wanawake na kuhusisha wale ambao wametia fora katika nyanja mbalimbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive