Wanawake wahudhuria kongamano la kujadili mikakati ya kuboresha biashara Nairobi

  • | Citizen TV
    203 views

    Huku changamoto za ufadhili wa kibiashara zikiendelea kuwaathiri wanawake, wafanyabiashara wa kike wa sekta ya afya walikongamana hapa Nairobi kujadili mikakati ya kuboresha biashara zao.