Wanawake wahusishwa kwenye juhudi za kurekebisha tabia Kwale

  • | Citizen TV
    60 views

    Maafisa kutoka idara ya magereza na taasisi ya huduma za urekebishaji tabia katika kaunti ya Kwale wamesema wanawahusisha wanawake katika juhudi za kudhibiti itikadi kali kwa vijana kama njia mojawapo ya kuzuia visa vya uhalifu na kigaidi