- 725 viewsDuration: 2:43Wakazi wa jamii ya wasamburu katika wadi ya Oldonyiro, Kaunti ya Isiolo wananufaika kutokana na uzalishaji wa mazao kuanzia mwaka jana, kupitia Mradi wa Utoshelevu wa Chakula uliotekelezwa na shirika la Action Against Hunger kwa ushirikiano na Idara ya Kilimo ya Kaunti hiyo. Mradi huo umechangia pakubwa kupungua kwa idadi ya watoto waliokuwa wakikabiliwa na utapiamlo vijijini.