Skip to main content
Skip to main content

Wanawake wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kuwania viti mbalimbali vya uongozi nchini

  • | Citizen TV
    287 views
    Duration: 1:23
    Wanawake wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kuwania viti mbalimbali vya uongozi nchini, kama sehemu ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kutoa nafasi kwa wanawake kuonyesha uwezo wao katika maendeleo ya jamii.