WANAWAKE WANAMITINDO KENYA MFANO WA KUIGWA

  • | VOA Swahili
    Mila na tamaduni nyingi za kiafrika zinazidi kumezwa na miigo ya mitindo ya kigeni ambayo baadhi ya wanawake barani Afrika hudhania kuwa ni bora zaidi kuliko mitindo ya kiafrika kama vile mavazi. Nchini Kenya kuna kampuni ambayo imeanzisha mchezo mtandaoni wakuhimiza wanawake waafrika kukumbatia utamaduni wao kwa kuwahimiza kuuthamini,