Wanawake wanaokabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Msumbiji

  • | BBC Swahili
    421 views
    Wanawake katika kijiji cha Msumbiji wamekuwa wakijiunga na vikundi vya polisi jamii ili kujikinga na ukatili wa majumbani unaowakabili mara kwa mara. Kikosi hiki cha wanawake kilizinduliwa na umoja wa Lemusica, ambapo wanajaribu kubadilisha mawazo ya wanawake wengi ambao hukalia kimya unyanyasaji katika eneo la mashambani. #bbcswahili #msumbiji #wanawake