Wanawake wanavyopambana na vikwazo vya maendeleao katika fani mbalimbali

  • | VOA Swahili
    101 views
    Wakati dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, uangalizi unageukia kwenye mapambano yanayoendelea ya ushirikishwaji wanawake, vita vinavyoendeshwa dhidi ya hali ya ukosefu wa usawa, fikra potofu na upendeleo. Licha ya hatua kubwa kubwa kupigwa kuhusu usawa na uwekezaji katika uwezeshaji wa wanawake, bado ndoto kwa wanawake inahitaji kutambuliwa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.