Wanawake wanavyopigania kuwa mapadri wa kikatoliki

  • | BBC Swahili
    705 views
    Vatican haijawahi kuruhusu wanawake kutawazwa kama mapadri, lakini kuna harakati zinazoongezeka za kubatilisha marufuku hii. Zaidi ya wanawake 200 wamechagua kushiriki katika ibada za siri za kusimikwa kuwa mapadri, licha ya kujua kwamba watatengwa na Kanisa Katoliki. #bbcswahili #italia #rome