Wanawake wapewa chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    163 views

    Idadi kubwa ya wanawake katika kaunti ya Migori wamepokea chanjo dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi na kuongeza matumaini zaidi katika vita dhidi ya ugonjwa huo.