Wanawake waraibu wa pombe waongezeka Busia

  • | Citizen TV
    271 views

    Ongezeko la wanawake ambao ni waraibu wa pombe na mihadarati katika kaunti ya Busia limezua wasiwasi. Hali hiyo imetajwa kuchochewa na visa vya dhulma dhidi ya wanawake. na kama anavyoarifu jane cherotich, Wanawake wengi wanaobugia pombe na kutumia dawa za kulevya busia huvuka mpaka ili kupata bidhaa hizo kwa bei nafuu.