Wanawake washauriwa kuwania nyadhifa za uongozi

  • | Citizen TV
    285 views

    Akina mama kutoka sehemu kame nchini wamehimizwa kupigania nafasi zao za kisiasa hasa katika sheria ya kupata angalau thuluthi mbili kwenye uongozi