26 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 142 views Duration: 1:13 Huku uchaguzi wa mwaka wa 2027 ukijongea,wanawake kutoka kaunti ya Bomet chini ya mwavuli wa Young Women in Politics wameshauriwa kungia kwenye jukwaa la uongozi wa kitaifa.