Skip to main content
Skip to main content

Wanawake wazee wadai haki ya kugawiwa vibanda Kamenu mjini Thika

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 1:31
    Wanawake wakongwe kutoka eneo la Kamenu mjini Thika, Kaunti ya Kiambu, walilia haki yao baada ya kulaghaiwa zaidi ya shilingi milioni tatu katika mpango wa kupata vibanda vya biashara katika eneo hilo