Wanawake wengi Taita Taveta hawana hati za ardhi

  • | Citizen TV
    114 views

    Idadi kubwa ya wanawake katika kaunti ya TaitaTaveta hijapata haki za umiliki wa ardhi, hali ambayo inachangia mizozo ya ardhi punde waume zao wanapoaga dunia