Wanawake wengi wajitosa katika kilimo cha kahawa Trans Noia

  • | Citizen TV
    378 views

    Wanawake wengi katika kaunti ya Trans-Nzoia wamejitosa katika kilimo cha kahawa. Kulingana nao, uwekezaji huo unawaletea mapato mengi huku wakiungana ili kufaidika katika makundi.