Wanawake wengi waugua Saratani ya kizazi Homa Bay

  • | Citizen TV
    208 views

    Baadhi ya wanawake walioathirika na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi katika kaunti ya Homa bay sasa wamejitokeza kutoa hamasisho na ushauri nasaha kwa wenzao huku Idadi wagonjwa hao ikiongezeka