Wanawake zaidi wanahudumu katika sekta ya uchukuzi wa umma

  • | K24 Video
    44 views

    Sekta ya uchukuzi nchini imeonekana kutawaliwa zaidi na wanaume kuliko wenzao wa kike. Utafiti wa hivi majuzi wa Flone initiative ulionyesha kuwa wanawake wanajumuisha asilimia 7 ya nguvu kazi katika sekta ya uchukuzi wa umma nchini , huku wengi wakifanya kazi kama kondakta na asilimia 83 kati yao ndiyo walezi wa familia zao. wanawake wameanza kuwapa ushindani wanaume katika sekta hiyo katika kaunti ya machakos.