- 29 viewsWanawake wa Zimbabwe wanawasimamia wanawake wenzao wajawazito wanaoishi vijijini. Kundi la wanawake limekusanya rasilimali ili kujenga makazi kwa ajili ya kina mama wajawazito ambao wanaishi mbali na kliniki. Kwa hakika inaweza kuokoa maisha ya wajawazito ambao hawawezi kufika kwenye kliniki kwa muda muafaka ili kujifungua. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wanawake Zimbabwe wajenga makazi kwa ajili ya akina mama wajawazito
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens
- 12 Aug 2025 - Farmers win round one as court halts duty-free rice importation
- 12 Aug 2025 - Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business