Wandani wa Gachagua wapuuza mpango wa kumtimua ofisini

  • | Citizen TV
    1,615 views

    Wandani wa naibu wa rais Rigathi Gachagua wamemtetea wakihusisha masaibu yake na njama ya kudhalilisha ofisi yake. wakizungumza huko Githunguri kaunti ya Kiambu, wanasiasa hao walipuuza mpango wa kumtimua gachagua ofisini huku wakikosoa matumizi ya mfumo wa haki ya jinai kwa kuwaandama wanaomuunga mkono naibu wa rais.