Wandani wa naibu rais Gachagua wamkahifu vikali Kimani Ichungwah

  • | K24 Video
    223 views

    Wandani wa naibu rais Rigathi Gachagua, sasa wanamtaka rais William Ruto kueleza bayana iwapo kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichungwah ana ruhusa ya kumkejeli naibu rais. Wakizungumza katika hafla ufungunzi wa kanisa la ack eneo la Kayole hapa jijini Nairobi ,viongozi hao ambao ni wandani wa naibu rais wanalalamika kuteswa na serikali walioipigia kura. Naibu rais anasema ujio wa Raila Odinga na wandani wake kwenye serikali haumtishi kwani yuko na wananchi na atazidi kusikiza maswala yanayowahusu