Wandani wa Naibu wa Rais wakosa kuhudhuria hafala ya leo

  • | TV 47
    Viongozi mbalimbali walifika katika ukumbi wa Bomas ili kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya BBI. Wengi wao wakionekana kutupilia mbali maagizo ya kujikinga kutokana na homa ya Korona. Wandani wa Naibu wa Rais wakikosa kuhudhuria hafla hiyo. #TV47News