Wandani wa Raila Odinga kumshauri kutoshiriki katika mdahalo wa Urais

  • | West TV
    122 views
    Wandani wa Kinara wa chama cha ODM ambaye ni Mgombea wa Urais katika muungano wa Azimio One Kenya wanaonekana kumshawishi asishiriki katika mdahalo wa Urais uliokuwa umepangwa