- 964 viewsDuration: 2:34Wandani wa rais William Ruto wakiongozwa na msaidizi wa rais Farouk Kibet wamekashifu upinzani haswa kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua wakidai kuwa hawafai kuwachochea wakazi wa Kaskazini mwa Kenya kufaidika na maendeleo kutoka kwa serikali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya