Wandani wa Rais Ruto wamkosoa Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    2,654 views

    Naibu wa Rais Prof Kithure Kindiki pamoja na msaidizi wa Rais Farouk Kibet wanasema wataendelea kuzuru maeneo mbalimbali nchini kuzindua miradi ya maendeleo kando na kupiga jeki vikundi mbalimbali vya kina mama na vijana.