Wandani wanne wa Koimburi wamedaiwa kusaidia utekaji nyara

  • | NTV Video
    1,737 views

    Wandani wanne wa mbunge wa Juja, George Koimburi, wamefikishwa katika mahakama ya Milimani kwa tuhuma za kusaidia kutekeleza utekaji nyara uliodaiwa dhidi ya mbunge huyo, ambaye kwa sasa yuko hospitalini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya