Wandanyi ataka wanaosambaratisha kampuni ya umeme wakamatwe

  • | KBC Video
    Mwenyekiti wa kamati ya bunge la taifa kuhusu uhasibu wa umma Opiyo Wandayi ametoa wito wa kukamatwa kwa wale wanaosambaratisha kampuni ya umeme ya Kenya akisema inaelekea kufilisika. Kulingana na Wandayi, kampuni hiyo inapaswa kujitangaza mfilisi badala ya kusubiri kupelekwa mahakamani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive