Watu wanne wauawa Todanyang’ Turkana

  • | TV 47
    214 views

    Watu wanne wauawa Todanyang’, Turkana.

    Inadaiwa walishambuliwa na majambazi kutoka Ethiopia.

    Viongozi wa kaunti wakemea vikali kisa hicho.

    Wanataka maafisa wa usalama kutumwa eneo hilo.

    #TV47Matukio

    __