Wanyama wanaoaminiwa kuwa simba wawaua mifugo kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    294 views

    Wanyama wawili ambao wanadhaniwa kuwa ni simba wamevamia kijiji cha Thangantha na Gaceuni eneobunge la Tharaka county ya Tharaka Nithi na kuua mbuzi 15 na punda wanne. Hofu imetanda katika vijiji hivyo, huku wakazi wakiwawinda wanyama hao.