Waokoaji Morocco wafanikiwa kumtoa mtu chini ya kifusi

  • | BBC Swahili
    1,170 views
    Tazama namna kikosi cha uokoaji nchini Morocco katika mji wa Moulay Brahim kilivyomuoko mwanamume mmoja kutoka kwenye magofu ya jengo lililoporomoka. Zaidi ya watu elfu mbili wameuawa, huku wengine wengi wakijeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.8 kusini magharibi mwa Marrakesh. #bbcswahili #morocco #tetemeko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw