Skip to main content
Skip to main content

Waokoaji wa ajali ya helikopta wahitaji tiba Chepkiek

  • | Citizen TV
    184 views
    Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Chepkiep katika kaunti ya Nandi, ambao walikuwa mstari wa mbele katika shughuli za uokoaji kwenye ajali ya helikopta iliyomuua Mbunge wa Emurua Dikirr, Johanna Ng'eno, na watu wengine watano mwishoni mwa juma, sasa wanaiomba serikali kuwapa msaada wa dharura wa kimatibabu na kisaikolojia.