- 184 viewsWapalestina kama Waislamu wengine kote duniani walianza mfungo wa Ramadhani siku ya Jumatatu huku mazungumzo ya kusitisha mapigano yakiwa yamekwama, hali ya njaa kuwa mbaya zaidi katika Ukanda wa Gaza na bila ya dalili za vita vilivyodumu kwa miezi mitano kati ya Israel na Hamas kumalizika karibuni. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wapalestina waungana na waislamu dunia katika mfungo wa Ramadhani
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Farmers win round one as court halts duty-free rice importation
- 12 Aug 2025 - Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business
- 12 Aug 2025 - Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry