Wapangaji wafurushwa kwa kukosa kulipa kodi Malindi

  • | Citizen TV
    576 views

    Wapangaji zaidi ya 200 katika mtaa wa Ngala mjini Malindi wamefurushwa kwa kukosa kulipa kodi. Hapo nyuma nyumba hizo zilikua zikimilikiwa na manispaa ya Malindi. Wapangaji hao wanadai kuwa idara ya nyumba haijazingatia taratibu za kisheria katika kukusanya kodi