Wapelelezi wa DCI wavamia makazi rasmi ya gavana wa Meru Kawira Mwangaza mjini Meru

  • | K24 Video
    414 views

    Wapelelezi wa DCI wamevamia makazi rasmi ya gavana wa Meru Kawira Mwangaza mjini Meru mapema leo. Hii ni sehemu ya upelelezi unaoendelea kuhusu mauaji ya mwanablogu Daniel Muthiani almaarufu "Sniper".