Wapiga kura milioni 1.2 wanatarajiwa kushiriki uchagizi Somaliland

  • | Citizen TV
    269 views

    Tume ya uchaguzi ya Somaliland inatumia teknolojia ya mboni ya macho kuwatambua wapiga kura kabla ya kuruhusiwa kushiriki kwenye mchakato huo, ulioanza mwendo wa saa moja asubuhi hii leo. Wapiga kura milioni 1.2 wanatarajiwa kupiga kura, katika vituo 2600, kumchagua rais wao.