- 113 viewsDuration: 1:04Wapiga mbizi wakongwe wamerejea nyumbani baada ya kuandikisha matokeo bora jijini George, afrika kusini, katika mashindano ya 41 ya masters duniani. Kikosi hicho cha waogeleaji 17 kilimaliza katika nafasi ya 8 kati ya timu 23 zilizoshiriki kote duniani.Consolata Kirubi aliongoza kwa kushinda medali tano ikiwemo mbili za dhahabu