Wapiganaji wa Hamas waliwaachilia mateka 24

  • | VOA Swahili
    450 views
    Wapiganaji wa Hamas waliwaachilia mateka 24 siku ya Ijumaa wakati wa siku ya kwanza ya usitishaji vita, kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu . Vyombo vya habari vya Israel viliripoti kuwa wanawake na watoto 13 ambao wamepokelewa na shirika la Msalaba Mwekundu wakiwemo wafanyakazi wa mashambani wa Thailand. Hata hivyo Serikali ya Israel na Hamas hawakuthibitisha hili mara moja.