Wapiganaji wa M-23 waingia mjini Bukavu

  • | Citizen TV
    3,620 views

    Mapigano yamezuka tena katika eneo la kivu kusini katika jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambako wapiganaji wa M-23 wanasema wameuteka mji wa Bukavu. Hali ya taharuki imetanda mjini humo, baada ya wafungwa zaidi ya 2,500 kutoroka jela.