- 2,134 viewsKati ya Shauku, hasira na vurugu, wananchi wa DRC wanafanya kila wawezalo kupiga kura Jumatano katika uchaguzi uliokuwa na mashaka ambapo rais anayemaliza muhula wake, Felix Tshisekedi, anachuwana na upinzani uliogawanyika ambao haraka umedai kuwepo “mapungufu”. “Ni vurugu tupu,” Martin Fayulu alisema pia baada ya kupiga kura Kinshasa, kwa mara nyingine tena akiituhumu Tume ya Uchaguzi (Ceni) kutaka kwa hali yoyote “kumpitisha” Felix Tshisekedi. Moise Katumbi, ambaye alipiga kura katika ngome yake ya Lubumbashi, aliwataka wapiga kura “kufuatilia” zoezi la kuhesabu kura “mpaka mwisho.” Katika jimbo la jirani la Ituri, ambalo pia lilikumbwa na ghasia kutoka vikundi vyenye silaha, waandamanaji, wakiwemo watu waliokoseshwa makazi kwa sababu ya vita kulingana na vyanzo mbalimbali vya eneo, waliharibu kituo cha kupigia kura, “Walivunja kila kitu,” amelalamika afisa moja wa Ceni katika eneo hilo. Source: AFP #drc #rwanda #congo #felixtshisekedi #tshisekedi #drcelection #drcelection2023 #kinshasa #voa #martinfayulu #moisekatumbi #denismukwege
Wapinzani wakuu watatu wa Tshisekedi wamepiga kura asubuhi
- - FEASSA games day 2 ››
- - Consumer trends ››
- - Co-op Bank results ››
- 16 Aug 2025 - US President Donald Trump and Russian counterpart Vladimir Putin will meet on Friday in Alaska in a high-risk summit that could prove decisive for the future of Ukraine.
- 16 Aug 2025 - The Nairobi Hospital has announced the suspension of its recent price adjustments following consultations with key insurance partners, who had initially withdrawn their services, leaving patients stranded.
- 16 Aug 2025 - Homicide detectives on Friday returned to Kwa Binzaro in preparation for the planned exhumation of eight graves that had been discovered late last month.
- 15 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai has been impeached. The embattled Governor was ousted after putting up a spirited defense throughout the day before the County Assembly.
- 15 Aug 2025 - A group of youth from Jacaranda in Embakasi who attended last Saturday’s State House empowerment event claim they never received the promised motorbikes and other items.
- 15 Aug 2025 - Nairobi Senator Edwin Sifuna has challenged President William Ruto to name those he accused of soliciting money from Cabinet Secretaries and Governors, citing that such remarks require proof.
- » Kajiado girls betrayed at birth: Minors face Obstetric Violence, sky-high bills and brutal neglect15 Aug 2025 - Kajiado is marked as one of the counties where maternal and sexual reproductive health violations and obstetric violence cases are rampant.
- 15 Aug 2025 - The DP on Friday graced Tiaty Economic Empowerment engagement at Chemolingot town in the constituency where he avowed the rolling out of key projects geared at improving the lives of the residents.
- 15 Aug 2025 - Charity Nyambura, recently single, does not do butterflies
- 15 Aug 2025 - Videos seen by the Star showed members physically restraining one another while others exchanged harsh words