10 Mar 2026 7:41 pm | Citizen TV 52 views Warsha ya mafunzo ya utambuzi wa vipaji vya soka imetua katika mji wa kisumu kwa kundi la tatu nchini. Mafunzo mengine mawili yamefanywa na makocha wanaoshughulikia timu za shule na vyuo vya kukuza talanta