- 12,594 viewsDuration: 53sJoto kali nchini India linawalazimisha wakazi wa vijiji kushuka hadi mita 45 ndani ya visima kutafuta maji. Katika kijiji cha Moti Palsan, watu zaidi ya 1,200 wanategemea visima vinane kwa matumizi ya maji, lakini visima hivyo hukauka kila kipindi cha kiangazi. Je serikali ya kijiji inasemaje? @roncliffeodit anaelezea #bbcswahili #Indiana #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw