15 Mar 2026 7:24 pm | Citizen TV 419 views Duration: 1:13 Wasanii na wenyeji wa Kapchorwa katika taifa jirani la Uganda wamekongamana leo katika uwanja wa boma kumkumbuka marehemu aliyekuwa mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno.