Skip to main content
Skip to main content

Wasanii wa Bonde la Ufa waanzisha kampeni ya kuhubiri amani

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 1:53
    Wasanii wa Bonde la Ufa wameanzisha kampeni ya kuhimiza amani katika kaunti za Pokot Magharibi, Turkana, Baringo, Elgeyo Marakwet na maeneo jirani, wakilenga suluhu ya kudumu kwa mizozo ya Bonde la Kerio ambayo imeleta vifo, uharibifu na kusambaratisha maisha ya wakazi.