Wasanii wahimizwa kushiriki mpango wa Studio Mashinani

  • | KBC Video
    21 views

    Kamati ya bunge kuhusu maswala ya utangazaji na maktaba,imetoa wito kwa vijana walio na vipaji vya kuimba,kutumia mpango wa Studio Mashinani kukuza vipaji hivyo. Studio Mashinani ni sehemu ya mpango wa kuzindua nafasi za ajiri kupitia mfumo wa dijitali chini ya wizara ya habari,mawasiliano,teknolojia na uchumi wa dijitali,ambapo wasanii wenye vipaji wataweza kurekodi nyimbo zao bila malipo.Wabunge wa kamati hiyo walisema hayo baada ya kuzuru mpango huo wa Studio Mashinani katika afisi za shirika la utangazaji nchini la KBC huko Kisumu.Wycliffe Oketch anatusimuliwa zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #dirayamagwiji #studiomashinani